INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, December 22, 2012

ARUSHA TRIP.....!!!!!Siku tatu zilizopita Bongo Movie Unit ilifanya ziara Jijini Arusha kwa ajili ya Semina ya kujenga mahusiano mazuri kati ya Bongo Movie Unit pamoja na Arusha Movie, Hii yote nikuonyesha ushirikaono na watengenezaji Movie wa Majiji mengine, licha ya tukio ilo tulicheza mechi kati yetu na Arusha Movie wacha tucheki mambo yalivyokuwa ndani ya Jiji la Arusha..

Tukiwa ndani ya safari kuelekea Jijini Arusha..

Jimmy kapteni na Tino...

Tukipata chakula pamoja na vinywaji maeneo ya Korongwe.

Rahim na Muba...

Rado wa kwanza kushoto akiwa na Messi wa Bongo..

Tukiwa tumeshaingia katika Jiji la Arusha, Katibu Mkuu wa Bongo Movie Unit bwana Salum Choma akiwa katika pozi la mbwembwe.

Ulifika muda wa mechi na hapa tukipata maelekezo ya timu meneja ambaye ni Single Mtambalike.

Marefa wakijiandaa kwa mpambano..

  Team Captains wa timu zote mbili wakiongoza Jahazi.

Tukifanya mazoezi madogo madogo..

Mstari wa pamoja kwa ajili ya timu zote mbili kukaguliwa..

The Greatest akifanya utambulisho kwa wachezaji wenzake.....

Hapa akimtambulisha Rado au Baba Marge..

Timu Meneja Single Mtambalike bila kukosa..

Odama na Cathy wadada wa Bongo Movie.

Mpambano ukikaribia kuanza

Maya na Rachel maua ya Bongo Movie..

Mpaka half time mambo yalikuwa ni 0 kwa 0.

Chiki Mchoma...

Rachel Haule na Jack Wolper...

Haji Magori aliweza kutupatia gori la kwanza kabla ya kipindi cha pili kuisha..

Madada wa Bongo Movie hawakuwa nyuma kwenye kushangilia.....

Katibu Chiki na Mwenyekiti Mstahafu JB wakifurahia ushindi....

Mechi iliweza kuisha Bongo Movie wakitoka kimasomaso kwa ushindi wa bao 1-0.Wageni rasmi wakijiandaa kwa kutoa Tunzo.

Timu pinzani walizawadia mpira..

Tulivishwa Medari na mgeni rasmi....

Taratibu zikiendelea..

Choppa...

Tukishangilia ushindi..

Tulipata picha ya pamoja..

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget