INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, August 12, 2015

Wema Sepetu Na Steve Nyerere Wapewa Deal Nono Na Rais Kikwete?

Wema Sepetu na Steve Nyerer ni wasanii ambao walikatwa kura za moni ya ubunge lakini wanaonekana kuramba deal kutoka kwa Rais Kikwete. Wema ameweka picha instagram na kuandika

"Wakati nyie mnaongea upuuzi... Yangu yaninyookea..... Alhamdulillah... Wa moja havai mbili... Abadan asilan.... Earlier today... Ikulu... Dodoma... Thank u Mr.President."


"Na katika picha nyingine ya Steve Nyerere aliandika

Hongera sana ndugu yangu kwa kupewa nafasi hii kubwa... Nina imani hautotuangusha na yale tulioyapanga basi yatafanikiwa... Im so proud of you @stevenyerere2 ... Haiya sasa twende tukatumikie jamii... Vijana wenzako tupo nyuma yako...."


No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget