Familia ya Kanumba inawakaribisha katika kumbukumbu ya kifo cha marehemu Kanumba itakayofanyika Leaders Club siku ya jumapili hii tarehe 7/4/2013 kuanzia saa 11 jioni. Kutakuwa na uzinduzi wa muvi ya mwisho kufanywa na marehemu. Pia itaoneshwa kwa mara ya kwanza preview ya muvi iitwayo After death(Never happened before) iliyoandaliwa na Jackline Wolper kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba....KIINGILIO NI BURE. MSIKOSE TUMUENZI NDUGU YETU.

No comments:
Post a Comment