Siku ya Jumanne 26.08.2014 ilikuwa ni sherehe yangu ya kuzaliwa ambapo niliweza kusherekea na watoto yatima wa kituo cha Maunga, kilichopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Sherehe hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni, Dar es Salaam, ilihudhuriwa na wasanii wenzangu wakiwamo Johari, Mayasa, Cathy, Shamsa Ford, Chuchu Hans, Monalisa, Yusuph Mlela, Steve Nyerere, Chichi na wengineo.
Pia familia yangu ilijumaika pamoja nami kusherekea siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kupata kile kidogo ambacho niliweza kutoa kwa watoto yatima pamoja na walezi wao. Nilifarijika sana kuona mwitikio mkubwa kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu
NIKIWA SALOON
KIPINDI CHA KUINGIA UKUMBINI
KIPINDI CHA RED CARPET KILIWADIA
Odama na Issa
Kutoka kulia ni Rulea Sanga, Albert (mdogo wake na Odama), Abdul Aziz na Malick
Odama na mdogoake Joan
Odama na mtangazaji wa Clouds FM, Simple
Odama na Bitebo
Kutoka kulia ni Dyness, Rhoda na Odama
Kutoka kulia Dida, Johari, Husna na Davina
Camera man wa J-Film 4 Life Malick
Mlela
Abdul Aziz
Sandra
Mdogo wake na Odama, Albert
Jeniffer Kyaka (Odama)
Mkurugenzi wa J - Film 4 Life, Odama akiwa na crew yake
KIPINDI CHA KUCHEZA NA WATOTO YATIMA
KIPINDI CHA KUFUNGUA SHEREHE KWA MAOMBI
Odama akiwa na mama Heliet
Odama
KIPINDI CHA KUPATA SHAPEN
Monalisa na Odama
Baba yake na Odama akiwa na msanii wa Bongo Movie Bi. Mwenda
ODAMA AKIWA NA BABA YAKE MZAZI
KIPINDI CHA KUTAMBULISHA NDUGU NA MARAFIKI
Jeniffer Kyaka (Odama)
Kutoka kushoto ni baba yake na Odama, Joan (mdogo wake), Albert na George wadogo zake Odama
Kutoka kulia ni Rhoda, Odama na Dyness
Kutoka kulia Sandra, Maya, Odama, Caty, Davina, Chuchu
Odama akiwa na wasanii wenzake wa Bongo Movie
Odama akiwa na watoto yatima
Odama na Zamaradi wa Take One Clouds TV
Crew ya J - Film 4 Life
Odama na MC Chiki Mchoma
KIPINDI CHA CAKE KILIFIKA
Odama na Steve Nyerere
Odama na baba yake mzazi
Odama na baba yake mzazi
Odama na Bi. Mwenda
Odama
Tausi
Tausi
Kulia ni Rulea Sanga
Kushoto ni Rulea Sanga na Joan
KIPINDI CHA KUPATA CHAKULA CHA JIONI
Mwalimu wa watoto yatima
Mdogo wake Odama, George
KIPINDI CHA KUWAKABIDHI WATOTO YATIMA NA WALEZI ZAWADI ZAO
No comments:
Post a Comment