INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, December 11, 2014

Idris Kuwekeza Katika Tasnia Ya Filamu Nchini Sehemu Ya Pesa Alizoshinda Big Brother Africa.

Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.No comments:

Post a Comment