INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, September 13, 2013

FILAMU YA JICHO LANGU IS COMMING SOON..JIPANGE SASA KUJIPATIA COPY YAKO...!!

 Unaweza kujiuliza mambo mengi sana juu ya mane haya...JICHO LANGU. Hii ni filamu ilkiyoandaliwa na Mtanzania wenu Jennifer Kyaka (Odama) katika kampuni yake ya J-Film 4 Life iliyopo hapa jijini Dar es Salaam, Kinondoni.

J-Film 4 Life inakuhimiza kuipanga kithabiti kuhakikisha unajipatia copy yako mmapema na uweze kusikia na kuona kile kinacvhoitwa JICHO LANGU. Filamu imebeba mambo mbalimbali yahusuyo jamii kwa lego zima la kuelimisha, kuadibisha, kufundisha, kuburudisha pia kuhakikisha wewe Mtazanaji unafuata yale mema yaliyoonyeshwa katika fialmu hii.

No comments:

Post a Comment