INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, September 27, 2013

RAYUU SASA YUKO MAHUTUTI KITANDANI MARA BAADA YA KUCHOROPOA MIMBA KIENYEJI










Hivi karibuni zilienea habari za chini chini kuwa muigizaji wa filamu nchini maarufu kwa jina la Rayuu zikidai kuwa ametoa mimba kienyeji na sasa yuko kitandani angali akiuguza maumivu...

Habari hizo zilimfikia mpekuzi wetu wa kitengo maalumu cha UMBEA na kuamua kumtafuta Rayuu ili atoe ufafanuzi wa issue hiyo.

Katika utetezi wake, mrembo huyo alizikana taarifa hizo na kudai kuwa yeye hana historia ya kuchoropoa mimba..

Inatoka: Vituko vya Ntaa

No comments:

Post a Comment