INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, November 14, 2013

SEND OFF YA MDOGO WANGU ANITA KYAKA SIKU YA JANA SINZA MAWELA

Siku ya jana ilikuwa siku ya kipekee kwa mdogo wangu Anita Kyaka alipofanyiwa Send Off katika ukumbi wa Mawela Sinza hapa Bongo. Urembo ulifanyika katika saloon ya Maznat Mikocheni.

Watu kibao wakiongozana na wasanii wa Bongo Movie walimiminika katika ukumbi wa Maweli Sinza. Ngoma za kitamaduni zilichukua nafas yake kuhakikisha watu wanakwenda sawa na bila ya kusahau utamaduni wao.

Anita aliweza kuwashukuru sana mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha kufanikisha zoezi zima na pia aliwashukuru sana wazazi wake waliomlea mpaka kufikia hatua ya kuwa na mtu wa kuishi naye ambaye ni James. Haikuishia hapo Anita aliwashukuru watu wote walioweza kufika katika send off yake hapo Sinza.

Ngoja tuone matukio yaliyoaajili....


MAZNAT MIKOCHENI
Anita Kyaka
Kilia ni mkurugenzi wa Maznat, Mazna akimshauri Anita Kyaka
 

KIPINDI CHA ANITA KYAKA KUINGIA  UKUMBINI MAWELA SINZAKIPINDI CHA KUTOKELEZEA
 Odama na Shangazi yake
 Odama
 Roda (kulia) na Dyness
 Odama (kushoto) na Roda
  Odama (kulia) na marafiki zake wa Bongo Movie
 Odama (kulia) na marafiki zake wa Bongo Movie
 Kulia ni Director wa J-Film 4 Life Lamata na mtu wa make wa kampuni hiyo, Ashura
 Kulia ni Odama akifuatia na mdogo wake George pamoja na baba yao mdogo


KIPINDI CHA KUTAMBULISHA NDUGU NA JAMAA

KIPINDI CHA KEKI


KIPINDI CHA SHAPENI
 Kulia ni Roda wa Bongo Movie
 Mwigizaji wa Bongo Movie, Roda akigawa shapeni

 Anita Kyaka akigonga glasi na wazazi wake

KIPINDI CHA CHAKULA Anita Kyaka na mume wake mtarajiwa James
 Mama yake Anita Kyaka


 Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa Anita Kyaka
 Meza kuu ya kupatia chakula. Anita akiwa na mume wake mtarajiwa James wakipata msosi

Wasanii wa Bongo Movie

KIPINDI CHA DANCINGKIPINDI CHA KUTOA ZAWADI

 Zawadi

 Picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni kaka zake Anita Kyaka akifuatia na mdogo wake Joan
 Dada yake mkubwa na mdogo wake Anita Kyaka
 Aliyevaa nguo nyeusi ni dada yake mkubwa
 Anita Kyaka akivishwa Lozari  na mama yake mzazi
 Anita Kyaka na marafiki zake
 Anita Kyaka akimkabidhi zawadi ya keki kwa wazazi wake
 Anita Kyaka akiwana marafiki zake
 Anita Kyaka akiwa na wanakamati
  Anita kyaka akiwa na baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
 Anita kyaka akiwa na baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
 Anita Kyaka akiwa na baadhi ya ndugu zake

 Anita akiwa na dada zake na kaka zake
 Kaka na dada wa Anita Kyaka
 Anita Kyaka kulia akipewa zawadi na mama yake na kushoto wake ni bibi yake mzaa mama yake Anita akimkabizi baba yake zawadi
 Mama yake Anita Kyaka akipokea zawdi kutoka kwa mwanae Anita
 Kulia ni mama yake Anita akiwa na mama yeke mdogo na Anita Kyaka
 Wazazi wa Anita Kyaka wakimkabidhi saa mwanae Anita kama ishara ya kuwa makini na muda
 Wazazi wa Anita Kyaka Wazazi wa Anita Kyaka wakimkabidhi Biblia
 Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie

  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie


  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Baba wa Anita Kyaka

 Kulia ni mdogo wake na Anita Kyaka, Joan na rafiki yake

 Mdogo wake na Anita Kyaka

KIPINDI CHA WASHENGA KUFANYA YAO

KIPINDI CHA SHUKRANI
 Flow Manager Adam akitoa maelekezo na kuwashukuru waliofika
 Baba wa Anita Kyaka
 Mama wa Anita Kyaka
 Kulia ni Baba wa Anita Kyaka na mshenga wakicheza

KIPINDI CHA KUTOKA

Picha zimepigwa na RUMAFRICA
+255 715 851523

No comments:

Post a Comment