INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, September 30, 2014

MAZISHI YA KAKA YAKE NA CAMERAMAN WA KAPUNI YA J-FILM 4 LIFE BWANA MALICK SIKU YA JUMATATU 28.09.2014 MKOANI PWANI

Siku ya jana Cameraman wa J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) Bwana Malick kwa masikitiko makubwa aliweza kushirikiana na ndugu na jamaa kumzika kaka yake aliyepata ajali kwa pikipiki na kupoteza uhai. Crew ya J-Film 4 Life iliweza kufika katika msiba huu mkubwa na kuungana na ndugu na marafiki kupumuzisha mwili wa marehemu mkoani Pwani.

Rumafrica iliungana na crew ya J-Film 4 Life katika safari ya mwisho ya kuaga mwili wa marehemu. Hakika tulisikitishwa sana na kifo cha kaka wa rafiki yaetu Malick na ndio maana hatukujizuia kuungana na wenzetu kwenda katika msiba huo mkubwa sana kwa Taifa la Tanzania.

Tukumbuke sote ndiko tunakuelekea, hakuna mwenye makazi ya kudumu hapa duniani
Kulia ni Bwana Malick akiwa na msanii wa Bongo Movie, mchekeshaji Kingwendu


Msanii wa Bongo Movi Kingwendu (kushoto) akiongea na mfiwa Malick mawili matatu..
 Mfiwa Malick
 Crew ya J-Film 4 Life- Kutoka kushoto ni Director Lamata, mzee wa boom Issa, msanii wa Bongo movie, Kupa, Make up Ashura, Light Abdul, cameraman Malick (mfiwa), mkurugenzi wa J-Film 4 Life Odama
 Crew ya J-Film 4 Life- Kutoka kushoto ni Director Lamata, still picture Rulea Sanga, msanii wa Bongo movie, Kupa, Make up Ashura, Light Abdul, cameraman Malick (mfiwa), mkurugenzi wa J-Film 4 Life Odama
 Wananchi wakielekea makaburini
 Mazishi yakiendelea. Msanii wa Bongo Movie Kupa (mwenye nyekundu) alikuwepo

 Issa (mbele) na Malick (nyuma)


Rulea Sanga wa pili kutoka kulia akitupia mchanga kaburini
 Kutoka kushoto ni Abdul, Malick na Rulea Sanga (waliovalia tshirts nyeusi)
 Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto
 Rulea Sanga mwenye tshirts nyeusi akishirikiana na wakazi wa pwani wakati wa kuzika


 Odama
  Mkuugenzi Odama
 J-Film 4 Life Make Up, Ashura
  J-Film 4 Life Director Lamata
  J-Film 4 LifeCrew
  J-Film 4 Life
  J-Film 4 Life Crew
  J-Film 4 Life boss Odama


Odama and Malick

No comments:

Post a Comment