INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, September 10, 2014

NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIWEZESHA KULIJENGA KABURI LA RAFIKI YANGU KIPENZI MAREHEM RACHEL HAULE

Asante MUNGU kwa kunipa kibali cha kuweza kusimamia kulijenga kaburi la rafiki angu kipenzi RACHEL HAULE mpaka hatua hii ilipofikia,,MUNGU aendelee kunisimamia mpaka hitimisho la ujenzi huu pia natoa shukrani kwa shemeji yangu wa ukweli kabisa @guda_boy tulieshirikiana katika jambo hili...MUNGU UMREHEMU NA UMWEKE MAHALI PEMA.


.

1 comment:

  1. Dah hongera sana umefanya jambo zuri na huo urafiki wa kweli unavyokua

    ReplyDelete