INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, January 24, 2016

Davina Amtolea Uvivu Mwandishi Wa Habari Wa Gazeti La Udaku Kwa Kumwandika Kwa Habari Ya Uongo.

Gazeti la habari za burudani la Wembe limendika habari kuhusu Davida kubeba mimba nje ya ndoa...lakini msanii huyo ameonekana kuchukizwa na habari hiyo aliyoiita ya uongo

Hivi nyie waandishi wengne hv kwann hamnaga utu lini nimeongea na wewe lini? zuwenanyembo na ktk story umeandika nimekutaja mpk jina me nakujua ww😈 Wkt mwingne mnasemaga hatudumu ktk ndoa wasanii lkn wkt mwingne nyie mnasababisha hivi kweli Mwanaume gn ataona mwanamke wake unatolewa story km hii akakuelew? Hyo mimba ulinipima? Mmezushaa wee ya Mike mpk kaamua kuwaonyesha mchumba wake lkn bdo mnamuandama haya huyo mchumba anaona huo ujinga hapo atajickiaje maskin haya Bosco ndo nani jmn ungeandika bac hata full name umetunga tu jina na kuandika I see😲…Hyo mimba mmenipima na ya nn mie au hujui hata km nina watoto wa kutosha nisiekaa nikasomesha na mimba tena ya wanaume wawili…muwe na Utu bac msitumie kalamu yenu vbaya..uwe na uhakika na unachoandika ww unapata PESA mimi UNANIHARIBIA ni DHAMBI jmn……😢😠😠 I hate u 4 this

No comments:

Post a Comment