INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, April 23, 2012

AROBAINI YA MTOTO WA MAIMARTHA WA JESSE

 Wadada wa Bongo Movie tukiwa na Maimartha wa Jesse wakati wa shughuli ya mtoto wake kutimiza siku arobain iliyofanyika  nyumbani kwake kawe beach.Shughuli hiyo ilihudhuriwa pia na marafiki zake na jamaa zake mbalimbali.Burudani mbalimbali zilikuwepo kuhakikisha shughuli hiyo ya mtoto inaenda sawa sawia.

 Maimartha akifurahi

 Wadada wa Bongo Movie tukienda kutoa zawadi kwa mtoto

 Mai alifurahi sana kwa jinsi tulivyompa kampani ya kutosha

 Nikiwa na Mama Erieth

 Furaha kwa kwenda mbele

 Dada Asha akitoa zawadi kwa mtoto

 Zawadi zilikuwa za kumwaga

 Mkurugenzi wa Nyerere the Power Steve Nyerere aligawa pesa za kutosha ikiwa ni zawadi kwa mtoto kwa Mai

 Mai akiwa ametulia akisubiri zawadi 

 Mambo hayo nayo hayakubaki nyuma,sekta ya ndugu yangu kupa

 Weweee hatariiiiiiiiiiiii

 Sio muda wa kuongea huu

 Utamaliza au umejaza tuu

 Auntie na Rehema hawakuwa nyuma kuwajuza marafiki kinachoendelea hapo,si unajua mambo ya BBM

 Nami katika maswala haya sitaki mchezo kabisa

Monalisa akipata menu akiwa na rafiki yake

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget