INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, April 16, 2012

MTOTO WA SAJUKI NA WASTARA ATIMIZA SIKU AROBAINI

 Mtoto wa wacheza filamu wawili nchini,Sajuki na Wastara ametimiza siku arobaini na kufanyiwa sherehe kubwa nyumbani kwao Tabata.Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Wasanii wa Bongo Movie na watu wa kada tofauti na majirani zao.Hakika ilikuwa furaha tele kwa mama mtoto huyo Wastara na mumewe Sajuki kwani ukizingatia ni muda mrefu sajuki hali yake kiafya sio nzuri akiwa anasumbuliwa na maradhi ya  uvimbe tumboni.Kubarikiwa kupata mtoto kwao ni furaha kubwa sana,vile vile kuona wasanii wenzao wa Bongo Movie wakija kwenye sherehe hiyo kwao ilikuwa ni furaha tosha.

 Huyu ndio mtoto mwenyewe wa wasanii hao wawili

 Akitolewa nje

 Tukifuatilia maulidi

 Nikiwa katika harakati za kumpokea mtoto

 Kupa akiwa na Mzee Rupia,Mdau mkubwa wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga

 Mzee Rupia akiwa na Dinno

 Tukifuatilia maulidi

 Sajuki akimbeba mtoto wake

No comments:

Post a Comment