INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, April 28, 2012ODAMA KUACHIA FILAMU MPYA "RUDE" AMBAYO ITAKUWA MITAANI KUANZIA 4 MEI 2011

Kaa tayari kupata nakala yako mpya ya movie yangu inayoitwa RUDE niliyoicheza na Stanley Msungu,Ruth Suka a.k.a Mainda, Mzee Jengua, Herrieth Chumila,Rachel Haule na wasanii wengineo kibao.

Ni story nzuri sana ( Lamata hajawahi kuniangusha kwenye hilo) inayoonyesha mambo halisi yanayotokea katika jamii yetu.

Utajiuliza utofauti wake ni nini? ni ubora wa picha( shukrani kwa Farid Uwezo) mpangilio mzuri wa story, soundtracks zilizopangiliwa vizuri, ubora wa sauti na kikubwa zaidi FINE ACTING.

Muone jinsi Msungu alivyodhihirisha u- mwamba wake wa kuweza kucheza roles tofauti tofauti (picha ya cover inajieleza)
Utaona jinsi MAINDA alivyokuwa Good girl gone bad( get ur copy umuone msichana huyo mdogo lakini mkongwe kwenye movie za bongo)

Utaniona mimi pia ( makamuzi yangu si unayafahamu?)

IN STORES THIS MAY.......GET UR COPY .

No comments:

Post a Comment