INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, November 6, 2012

SEND OFF YA AUNT EZEKIEL YAFANA


Jana ilikuwa ni siku kubwa sana kwa msanii maarufu wa filamu Tanzania Aunt Ezeckiel baada ya kufanya Send of yake ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa kijana wangu Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao hongera sana dada yangu


Cloud akiwa na Bibi Harusi dada yetu Aunt wakipata picha ya kumbukumbu..


Tukiwa ndani SERENA tukimsubili Bi Harusi hawasili ndani ya ukumbi.


Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana.


Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wakeFlowersssssssWema na Jack WolperDavina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama EriethyMaya na Chuchu Hans.....OdamaMr na Mrs Cloud...............The Greatest nikiwa na kijana wangu....Ulifika muda wa kwenda kukabidhi keki kwa wazazi.....Akikabidhi keki kwa wazazi wake kwa adabu kubwa sana....Akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula.Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.Maandalizi yakifanyika..Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!Mmependeza.....Wema akiwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....Cloud pia akiwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....Ulifika mda wa burudani ...Wachaa we.......Batuli akitoa show....The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...Mambo yakipamba moto..Recho Saguda wacha weee..
Burudani ikiendelea..Maya hayuko nyuma naye...Mainda..JB

Steve Nyerere..


The Greatest

No comments:

Post a Comment