INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, April 23, 2016

Picha: Odama Atoa Msaada Kwenye Kituo Cha Kulelea Watoto.

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akiwa na wasanii wenzake siku ya jana walitembelea na kutoa sadaka kwenye kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazigira magumu, kituo cha Kituo Cha UMRA Kilichopo Magomeni Mikumi  jijini Dar.

Odama ambaye filamu yake mpya ya MKWE  imeigia sokoni hiyo jana, amewataka mashabiki wake waende madukani wakajipatie nakara halisi ya filamu hiyo kwani ni moja kati ya kazi zake bora zaidi inayosambazwa na kampuni ya steps entertainment.

No comments:

Post a Comment