INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, April 23, 2016

Rammy Galis Apata Shavu La Kuigiza Nigeria.

Muigizaji wa filamu nchini, Rammy Galis amepata shavu la kuigiza filamu mpya Nigeria iitwayo Her Shoes.
Rammy alienda Lagos kumalizia kurekodi video yake iitwayo Red Flag lakini imebidi aendelee kuwepo huko baada ya kupata shavu la Nollywood.

“KAZI niliyo onesha #Maproducer wa Nollywood katika #RedFLAG hatimaye imeleta Matunda. #MUNGU Amepokea Dua zenu , Ameweza Kunipa Kazi Nyingine #HERSHOES HapaHapa Kabla Sijarudi Nyumbani #Tanzania na Kumbuka Hatua Moja Huanzisha Nyingine,” aliandika Galis kwenye Instagram.

No comments:

Post a Comment