INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, April 9, 2016

Sitaki Kutoka Kimapenzi Na Star: Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford hivi karibuni alifunguka kupitia mtandao wa Instagram kuwa mahusiano na mastaa wa Bongo hayadumu kwa miezi mitatu na amemuomba Mungu amuepushe mbali nayo.
Akiweka picha ya Beyonce na Jay Z, Shamsa alidai ni uhusiano wao tu ndiyo anaouelewa miongoni mwa mastaa.

Aliandika: Haya ndio mahusiano ninayoyakubali dunia nzima.unaweza kuona mapenzi ,mafanikio na kazi katika nyuso zao….lakini mahusiano ya mastar wetu wa hapa bongo yakidumu sana ni miezi 3..Mimi huwa naona mapenzi ya mastar wa bongo ni kutafuta kick tu but si mahusiano ya kweli. …Mungu niepushe mimi kuwa na mahusiano na star yoyote. Happy anniversary Mr and Mrs JAZZ. ..”

No comments:

Post a Comment