INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, June 25, 2012

OMOSEXY-OMOTOLAH NA WEMA SEPETU NDANI YA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL KATIKA UZINDUZI WA SUPERSTAR

Wema Sepetu akiwa na mgeni wake Omotolla Jalade ndani ya Hotel ya Giraffe katika uzinduzi wa Filamu yake ya SUPERSTAR.Omotolla ni mmoja kati ya maactress hatari ndani ya kiwanda cha NOLLYWOOD Nigeria.Hakika ujio wake ni chachu kubwa kwa wasanii wa filamu nchini haswa sisi kinadada,tunatakiwa tuige kutoka kwake nini wanafanya mpaka wanatajirika na kupata kazi nyingi mpaka kufika  HOLLYWOOD.Hakika kwa hili tunatakiwa kumpongeza WEMA kwa kumleta msanii huyu mkubwa nchini.

Nikiwa na OMOTOLLA,Hakika nafasi hii  niliipenda sana


Davina akiwa na OMOTOLLA
Nesh akiwa na Omotolla

Rachel akiwa na OMOTOLLA JARADE

Mtitu Bw Harusi mtarajiwa  hakuwa nyuma kupata picha na OMOTOLLA

Wasanii wa BONGO MOVIE hawakuwa nyuma katika kumsapoti msanii mwenzao

Rachel,Davina na Nesh wakiwa na WEMA ndani ya Giraffe Hotel baada ya uzinduzi wa Filamu ya SUPERSTAR

Nikiwa na Wema Sepetu

Omotolla akienda kupumzika baada ya uzinduzi wa filamu kuisha akisindikizwa na Manager wa Wema Martin Kadinda na Rachel na mdau wa filamu

Tukitoa Hiiiiiiiiiii

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget