INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, June 25, 2012

UZINDUZI WA FILAMU YA SUPER STAR HYATT KILIMANJARO KEMPINSKI

Uzinduzi wa Filamu ya SUPERSTAR uliofanyika ndani ya Hotel ya Hyatt Kilimanjaro hakika umetoa fundisho kwa wasanii nchini kuwa tukijitahidi tunaweza kufika kule tunapotaka.Hakika Wema Sepetu anastahili sifa kubwa sana kwa kufanya uzinduzi wa aina yake uliojaa wasanii wa filamu,bongo fleva,dansi na wafanyabiashala mbalimbali,Huu ni uzinduzi wa pili wa Filamu unaofanyika nchini na katika mahoteli makubwa,wa kwanza alifanya steve Nyerere ndani ya hotel ya Serena Hotel.Hakika wote hawa wawili wanahitaji pongezi kubwa.Sisi wasanii tupo pamoja na wewe katika kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya.HAKIKA UMETHUBUTU NA UMEWEZA HONGERA SANA.

Nikihojiwa na television ya Clouds

Shostito wangu Rachel akiwa anatabasamu

Nikiwa na Mama Erieth

Steve Nyerere hakika alifunika sana maana alikuwa na mabaunsa kama watatu wanaomlinda,pembeni hapo ni mmoja kati ya walinzi wake

Nikipiga story na THE GREATEST

Richie akiwa na Zungu

Mimi Rachel na Ma Erieth

Chopa akiwa na Irine Uwoya

Charles Baba akiwa na Ommy Dimples

Mama Lollaa akiwa na Nyerere

Ebwanae cheki mapozi hayo

Barnaba akiwa na Ray wakipiga maneno

Shilole,alifunika sana kwa nyimbo zake

Izzo B,Akiwa na Quick Racka

Mapozi hayo

Muda wa kuangalia movie ulifika na hapa SUPERSTAR ilikuwa live

Wacha wewe mtoto mapozi hayo


JB akipata menu

Shaa akipiga mzigo

THT wakifanya kazi jukwaani

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget