INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, June 1, 2012

USIKU WA ZIFF NA WADAU NDANI YA SLIPWAY HOTEL

 Huu ni ulikuwa usiku wa ZIFF wakikutana na wadau wao na mdhamini wao mkuu ZZUKU katika kupanga mipango ya jinsi gani ZIFF itafanyika mwaka huu.Wadau mbalimbali hasa wasanii wa Bongo Movie na baadhi ya Wasanii wa Bongo Fleva na wanamitindo walihudhuria.Hapa ilikuwa nje ya maeneo ya Slipway kushoto yangu ni kambarage,kulia kwangu ni Richie,Rachel na Seth Bosco mdogo wake marehem Kanumba

 Mkurugenzi wa ZUKU Mafruki akihojiwa

 Tukiingia ndani ya ukumbi

 Viongozi wa Steps Entertainment

 Shilole akifanya show na vijana wake

 Akiwajibika

 Mwanamitindo Mustaffa Hassanal na Mdau

 Tukipata mishikaki

 Richie akiwa na mkurugenzi wa Steps Entertainment Dilesh Solanki

 Mapozi ya madada

 Rachel akiwa na Jimmy Captain

 THE GREATEST akihojiwa

 Ray akiwa na Cloud

 Mimi ,Ray na Rachel

 Nyerere The Power na Uhuru Seleman

 Mtitu akiwa na Shemeji yetu mtarajiwa pembeni hapo

 Mashostito

 Auntie Ezeckiel na rafiki yake

 Mapozi

 Richie na Steve Nyerere

 Jack Wolper na Nesh

Picha ya pamoja baada ya show

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget