INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, January 24, 2015

ODAMA: ANGALIA TRAILER YA FILAMU YANGU MPYA YA JADA

Kwa
mara ya kuanza unagalia trailer ya filamu yangu ya JADA kwa kupitia
blogu yako pendwa ya Odama One. Ninawashukuru watu wote walioshirikiana
nami kumaliza zoezi la kushuti filamu yangu ya JADA ambayo ninauhakika
asilimia 100 ujumbe uliomo ndani ya filamu hii utaenda kubadilisha
maisha yako wewe.

Jeniffer Kyaka (Odama)
na mwane Jason

Filamu
yangu hii imetengezwa na kampuni yangu ya J-FILM 4 LIFE iliyopo
Kinondoni Biafra Dar es Salaam Tanzania. Katika filamu hii utaona
mabadiliko makubwa sana ya ubora (quality) katika picha, sauti, effects
na jinsi gani ujumbe ulivyomzito.

Siku ya tarehe 19.02.2015
filamu yangu itakuwa sokoni, kwahiyo unaombwa sana kama mdau wangu
kujipatia filamu hii na usikose kumjulisha na ndugu au jamaa yako wa
karibu juu ya ujio huu wa JADA.

Katika filamu hii utaweza kuona
jinsi gani mtoto anayeishi na mama wa kambo anavyokuwa mtukutu na kukosa
heshima ndani ya nyumba. Anashinda kumheshimu mama yake wa kambo
kutokana na kudekezwa  kwa baba yake. Nisikumalizie uhondo wa filamu hii
ila kwa sasa angalia trailer hili na baaada hapo kajipatie filamu yako
sokoni

No comments:

Post a Comment