Kampuni
ya J-Film 4 Life ya mwanadada Jeniffer Kyaka (Odama) itaachia filamu
mpya ya JADA siku ya terehe 19.02.2015. Kama tunavyomjua mwigizaji
maarufu nchini Tanzania Odama ambaye kwa sasa ameamua kutoa filamu yake
ya JADA kama zawadi kwako mdau wa filamu Tanzania ili uweze kuburudika
na kujifunza mengi kutoka kwa mwigizaji huyu,
Katika filamu hii utaweza kuona jinsi gani mtoto anayeishi na mama wa kambo anavyoweza kuharibu ndoa ndani ya nyumba kwa vituko na udanganyifu. Mbali na hilo utaona mambo mengi sana ambayo yatakufanya wewe uweze kuwa na muonekano mpya kifikra na kimtazamo. Filamu hii itakubadilisha sana na kukuweka katika ulimwengu mwingine na uliouzoea. Hebu itazame sasa.
Pia unaweza kumuunga mkono na kuinua karama yake hii aliyopewa na mwenyezi Mungu ya uigizaji kwa kununua filamu zake zilizopo madukani kama zinavyooneka kwenye tangazo lililotengezwa na Rumafrica (+255 715 851523 www.rumaafrica.blogspot.com) hapo chini na hasa hii filamu mpya ya JADA.
ANGALIA PICHA ZA BEHIND THE SCENE ZA FILAMU YA JADA
Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715 851 523 | www.rumaafrica.blogspot.com
Rulea Sanga (kulia) na Wastara
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO

No comments:
Post a Comment