inawatoooooooka as if nimeua mtu…… Niacheni bana….. Mi nafanya kile kinachoridhisha nafsi yangu maana sipendi kujikalfisha sasa nyinyi msofanya na nyie kinachowaridhisha mnasubiria nini…..Please baaaaana…. Spare me…… Mniache……..!!! Kwani nikitajirika mimi au nikiwa maskini wewe unapata faida gani… Jiulize kwanza hilo swali ndo uanze kutoa maneno yako….. Remember U also got ur life to live sooooo stop putting ur Nose into other’s Life….. #MyLifeMyRules…. Nakukera….? Sio lazima…. Sijaomba mtu… Ishini maisha yenu…. Silazimishi mtu na sijawahi lazimisha mtu kunisupport…. Kila mtu anafanya out of free will….!!! Ieleweke hio kwanza… Afu mengine yafate….. Nadhani Insta kwa leo inatosha…. Tuonane week ijayo maybe…..!





No comments:
Post a Comment