INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, July 3, 2016

Amanda Poshy Awachana Mastaa Wambwia Unga.

AMANDA Poshi, staa wa sinema za Kibongo, amewabwatukia baadhi ya mastaa wanaojitangaza kuwa wanatumia madawa ya kulevya baada ya kuathirika kuwa ni wanafiki.

Alisema angewaona wana hoja kama wangejitangaza kipindi walipoanza kuyatumia kuliko wakiona yanawashinda ndiyo wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kuomba msaada.

“Yaani kila siku wanaambiwa kuwa usipite hapa kuna hatari lakini wao wanakimbilia kwa siri, huu si upuuzi, wakitaka wakiwa katika hatua ya mwanzo wajitangaze ili tuweze kuwasaidia mapema,” alisema Amanda ambaye kwa upande wake alidai kuwa hajawahi kutumia madawa hayo tangu azaliwe.
Chanzo:GPL

No comments:

Post a Comment