INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, October 10, 2013

SIO SIRI TENA KUHUSU MAHUSIANO YA DIAMOND NA WEMA SEPETU....PICHA NNE WAKIFANYA YA KWAO MALAYSIA

Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…
Kupitia account yake ya instagram diamondplatnumz amepost moja ya picha zilizopo katika movie mpya aliyoshirikiana na mwanadada wema sepetu kuonyesha msisitizo ktk hilo diamond amesema haya:

diamondplatnumz: Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii... #TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne #Location #SomeWhereSource: Vituko vya Mtaa

No comments:

Post a Comment