INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, October 16, 2013

ANITA KYAKA AVISHWA PETE NA MUME WAKE MTARAJIWA JAMES

Mwezi wa tisa mwaka huu 2013 ulikuwa ni mwezi wa  kipekee kwa Anita Kyaka alivyovishwa pete ya uchumba na mume wake mtarajiwa  James. Tukio zima lilifanyika Mburahati nyumbani kwa familia ya Anita Kyaka. Ndugu na jamaa walijitokeza kuhahakikisha shughuli nzima inafanyika kwa amnai na upendo.
Anita Kyaka

Bwana harusi mtarajiwa james akiwa ameshika pete ya  kumvisha Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
1.       Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akivishwa pete na mume wake mtarajiwa James.

1.   Bwana harusi mtarajiwa    James kushoto akiwa na mshenga wake.

Bibi harusi Anita akipelekwa ukumbini kwaajili ya Bwana harusi mtarajiwa James kumtambua.
Shughuli nzima ilikuwa ikiendeshwa kimila zaidi…
1.       Bwana harusi mtarajiwa James akifunua kitenge kilichomfunika Bibi harusi mtarajiwa Anita katika zoezi zima la kumtambua mchumba wake.

1.     Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akiwa na rafiki yake Jennifer Kyaka (Odama) Miss Mary Kisingo (wa pili kutoka kulia

1.       Baadhi ya ndugu na marafiki waliohudhuria kuhakikisha shughuli inaenda sawa…

1.       Baadhi ya mahari zilizotolewa kutoka upande wa mume mtarajiwa.

1.       Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akiwa na mdogo wake Joan Kyaka

Wazazi wa Bibi harusi mtarajiwa Anita KyakaBaba mzazi wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akiongea machache


Baadhi ya marafi ki wa Bibi harusi mtarajiwa waliofika kum-support rafiki yao.

Baba wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akimtambulisha binti yake Jennifer Kyaka (Odama) katika shughuli ya kumvisha pete mdogo wake


 Dada wa Bibi harusi mtarajiwa ( Jennifer Kyaka) akiongea na mdogo wake. Bibi na Bwana harusi mtarajiwa  wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka

 Anita Kyaka akiwa na mama yake mzazi baada ya kuvishwa petena  mchumba wake.Bwana harusi mtarajiwa James akiwa na baba mzazi wa Anita Kyaka baada ya kumvisha pete Anita


Kulia ni mshenga na kushoto ni dada wa bwana harusi mtarajiwa James wakiwa katika picha ya pamoja.


 Baadhi ya ndugu wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka wakiwa katika picha ya kumbukumbu.
  Baadhi ya majirani wa  bibi harusi wakiwa katika picha ya pamoja.


 Baadhi ya ndugu wa mwanaume wakiwa katika picha ya pamoja.


Marafi ki wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka wakiwa katika picha ya pamoja.


Bwana harusi mtarajiwa James akiwa na ndugu wa bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka


 Jennifer Kyaka (Odama) akiwa na shemeji yake James pamoja na mdogo wake Anita Kyaka.
Anita Kyaka akiwa na mume wake mtarajiwa James


Kushoto ni dada yake na Anita aitwae Yusta na kulia ni mume wake aitwae Bariki wakiwa na mahurusi watarajiwa.


Shughuli ikifungwa kwa maombi.
MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU.
TUNAWASHUKURU WOTE MLIOFIKA. MUNGU AWABARIKI SANA

No comments:

Post a Comment