INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, October 18, 2013

J-FILM 4 LIFE KUACHIA FILAMU MPYA YA FIGO HIVI KARIBUNI…

Kampuni ya J-Film 4 Life iliyo chini ya mkurugenzi wake  Jennifer Kyaka (Odama) baada ya kuachia filamu nyingi  kitaani sasa inakuletea filamu nyingine yenye kiwango kingine kabisa iitwayo FIGO. Katika filamu hii utajifunza mengi sana ambayo yatakuweka katika ulimwengu mwingine.  Utapata kujua  ni kitu gani kinafanyika katika jamii yetu. Kama mdau wa J-Film 4 Life na umekuwa ukiangalia filamu zetu nyingi kama vile Pain Killer, Witch Doctor, Family War, Life 2 Life, The Avenger, Loreen na nyingine nyingi usiwaze wala kupanga kukosa kujipatia nakala yako hii ya FIGO....!!!

|
Haya ni baadhi ya matukio  yaliyoajili Location wakati wa maandalizi ya filamu hii ya FIGO.No comments:

Post a Comment