INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, March 6, 2015

ALIKIBA ATINGA TARANGIRE

Alikiba na timu yake kutoka label ya Rockstar4000 wameitembelea mbuga ya wanyama ya sita kwa ukubwa nchini ya Tarangire, iliyopo mkoani Manyara.
Alikiba akichukua picha kwenye mbuga ya wanyama ya Tarangire

Muimbaji huyo wa ‘Mwana’ aliyekuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha la Sauti za Busara mwaka huu, amepost picha kadhaa akijiachia kwenye viota vya starehe vilivyopo kwenye mbuga hiyo ikiwa na pamoja na selfie kadhaa na wanyama.
Alikiba akiwa na timu yake akiwemo Director of Talent and Music Pan Africa – Rockstar 4000 / Sony Music Africa, Seven Mosha kushoto kwake

Haijulikani iwapo ameenda kutalii tu au kuna kazi inaendelea huko lakini picha zake amekuwa akiziambatanisha na hashtag #chekechacheketua ikiashiria kitu kipya kutoka kwake.

Selfie na tembo
Bata Batani

No comments:

Post a Comment