Picha mnato na Rumafrica +255 715 851 523 www.rumaafrica.blogspot.com
Evelyn
Kabwelile kwa uwezo wa Mungu aliweza kutimiza ndoto yake ya muda mrefu
katika huduma yake ya uimbaji. Siku ya jana aliweza kuweka wakfu Audio
CD yake inayoenda kwa jina la NJOO UONE katika hoteli ambayo kwa sasa
anafanyia kazi ya Regency Park iliyoko kwa Nyerere Mikocheni jijini Dar
es Salaam Tanzania siku ya Jumapili 22/03/2015. Uzinduzi huu uliongozana na waimbaji mbalimbali kama
wanvyoonekana katika tangazo hapo chini.
Evelyn Kabwelile
Kikundi
cha kusaidiana cha kusaidiana cha USHINDI kilweza kufika pale
kikiwakilishwa na baadhi ya wajumbe kama vile Rulea Sanga, Tumaini
Njole, Leah, Enoce, Sarah Mvungi na wengine wengi waliweza kufika. Eveln
ni mmojawapo wa wanaushindi.
Watu
wa kamera walikuwa ni crew ya J-FILM 4 LIFE ambayo iko chini ya
mwigizaji wa filamu Tanzania, Jeniffer Kyaka (Odama). Unaweza
kuwasiliana nao kwa simu hii +255 715 851 523
Evelyn
Kabwelile kwa uwezo wa Mungu aliweza kutimiza ndoto yake ya muda mrefu
katika huduma yake ya uimbaji. Siku ya jana aliweza kuweka wakfu Audio
CD yake inayoenda kwa jina la NJOO UONE katika hoteli ambayo kwa sasa
anafanyia kazi ya Regency Park iliyoko kwa Nyerere Mikocheni jijini Dar
es Salaam Tanzania. Uzinduzi huu uliongozana na waimbaji mbalimbali kama
wanvyoonekana katika tangazo hapo chini.
Kikundi cha kusaidiana cha
kusaidiana cha USHINDI kilweza kufika pale kikiwakilishwa na baadhi ya
wajumbe kama vile Rulea Sanga, Tumaini Njole, Leah, Enoce, Sarah Mvungi
na wengine wengi waliweza kufika. Eveln ni mmojawapo wa wanaushindi.
Watu
wa kamera walikuwa ni crew ya J-FILM 4 LIFE ambayo iko chini ya
mwigizaji wa filamu Tanzania, Jeniffer Kyaka (Odama). Unaweza
kuwasiliana nao kwa simu hii +255 715 851 523
Kutoka kulia Mc. Sarah Mvungi, Evelyn, Mc. Masanja
Kutoka kulia Mc. Sarah Mvungi, Evelyn, Mc. Masanja
J-Film 4 Life Crew Abdul (kulia) na Farid
kutoka kulia ni Faraja Ntaboba (Mwanaushindi), Edson Mwasabwite, Masanja
Rulea Sanga (mwanaushindi) wa tatu kutoka kulia
Mwanaushindi - Tumaini Njole
Rulea Sanga (kushoto) akifuatia Faraja Ntaboba na Masanja Mkandamizaji
Edson Mwasabwite akiimba wimbo wa Connection
Rulea Sanga (kulia)
Rulea Sanga (kulia)
Rulea Sanga (kulia)
Kutoka
kulia mstari wa mbele Mc Sarah Mvungi, Tumaini Njole, Masanja, Edson
Mwasabwite wakicheza wimbo wa Connection wa Edson Mwasabwite
KIPINDI CHA KUNUNUA AUDIO CD
Kaka akitoa mchango wake kwa kununua CD (kushoto) akifuatia Mc. Masanja, mhusika Evelyn Kabwelile, Mc. Sarah Mvungi
Evelyn Kabwelile (kushoto) na Mc. Sarah Mvungi
Wanaushindi - Kutoka kulia ni Leah Mwankundile na Tumaini Njole
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA
"Read More" HAPO CHINI KULIA CHINI KIDOGO
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA
"Read More" HAPO CHINI KULIA CHINI KIDOGO
Mwanaushindi Enoce (Kushoto)
KIPINDI CHA KUNUNUA AUDIO CD
Kaka akitoa mchango wake kwa kununua CD (kushoto) akifuatia Mc. Masanja, mhusika Evelyn Kabwelile, Mc. Sarah Mvungi
Evelyn Kabwelile (kushoto) na Mc. Sarah Mvungi
Wanaushindi - Kutoka kulia ni Leah Mwankundile na Tumaini Njole
Mwanaushindi Enoce (Kushoto)
No comments:
Post a Comment