INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, March 2, 2015

YALIYOJIRI JIONI YA JANA MSIBANI KWA KAPTENI KOMBAMkurugenzi wa bendi ya African Stars, Asha Baraka, akisaini kitabu cha rambirambi.

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, akisalimiana na Asha Baraka msibani hapo.

Msanii wa maigizo, muziki na mwanaharakati wa Chama Cha Mapinduzi, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’, akisaini kitabuni.

(Habari/Picha: Chande Abdallah/GPL)

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget