INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, October 16, 2015

Hizi Ndio Sifa Za Mwanaume Anayemtaka Rose Ndauka.

MSANII wa Filamu za kibongo, Rose Ndauka, ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza.

“Mimi napenda mwanamume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,’’ alijinadi Rose na kuongeza:
“Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, kwa sababu najua kuitafuta hivyo siwezi kubweteka kwa kutaka mwanamume mwenye pesa, hilo kwangu halipo, ninachotaka awe na upendo na thamani kwangu, awe mfariji na si maumivu”.
Chanzo: Mtanzania

No comments:

Post a Comment