INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, October 31, 2015

Wala Sijapotea Nipo Najipanga.

MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Nuru Nassor ‘Nora’ anasema hajapotea katika tasnia ya filamu bali ni kujipanga na kufanya kazi zake zaidi kuliko za kushirikishwa kwani mara nyingi filamu ili ung’are lazima uwe mtayarishaji.

“Filamu ni tofauti na tamthilia, katika filamu kuna changamoto nyingi sana hali ya soko lakini pia maandalizi yake ni gharama, ndio kuna wakati wanaona msanii kama kapotea kumbe anajipanga,”Nora.
Nora anasema kuwa baadhi ya watayarishaji ni waoga kuwashirikisha wasanii wenye uwezo wa kuigiza kwa kuhofia kufunikwa na wasanii hao hivyo wapo tayari kuwapa nafasi ndogo katika kuigiza ili wasifunikwe ili uigize kwa nafasi lazima uwe mtayarishaji.
FC

No comments:

Post a Comment