INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, October 6, 2015

Sikia Point Ya Hemedy Kwa Wasanii Juu Ya Uchaguzi Mkuu.

Hemed Suleiman ‘Phd’ ametoa rai kwa masanii wengazke kutoa elimu juu ya upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa badaye mwezi huu badala ya wenyewe kuwa mashabiki wa vyama.

Pamekuwa na wimbi kubwa la wasanii tukumika kisiasa katika kipindi  hiki cha kampeni kwa kinachodaiwa kuwa malipo makubwa  hasa kutoka CCM.
Lakini  badala ya kupanda kwenye majukwaa na kupigia kampeni upande mmoja katika uchaguzi huo, Phd ametaka watoe elimu ya upigaji kura.
Alisema asilimia kubwa ya wapiga kura mwaka huu ni wageni katika maswala ya upigaji kura , hivyo  wanahitaji elimu  ya kutosha.
“Nashangaa wasanii wenzangu badala ya kusimamia kwenye maswala ya upigaji kura, wao wamekuwa wa kwanza kutukna wagombea”, alisema.
Chanzo: Lete Raha

No comments:

Post a Comment