INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, September 20, 2015

Gabo Zigamba Amesema Hiki Kufuatia Baadhi Ya Wasanii Kuwa Busy Na Kampeni Za Siasa.

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo ambao wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.
"Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria yeye  ni kusogeza mbele  fani ya filamu kwani  ndiyo chanzo  kikuu cha mapato yake," alisema.
“Watu wasikae na kusema soko la filamu  litakufa  kwa sababu  baadhi ya wasanii wameiweka pembeni,”alisema.
Chanzo: Lete Raha

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget