INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, September 29, 2015

Nikishinda Ubunge Nitastaafu kwanza Mambo Ya Filamu: Frank

Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

‘Frank’ ambaye anagombea kiti hicho kwa tiketi ya ACT alisema akishinda hatojihusisha  na filamu kwani hatowezakufanya mambo mawilikwa wakati mmoja.
Frank ni mmoja wa wasanii wawili wa filamu wanaogombea Ubunge akiwemo ‘Kingwendu’ anayewania ubunge kwa tiketi ya CUF huko Kisarawe.
Chanzo: Lete Raha

No comments:

Post a Comment