INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, September 27, 2015

Njoo Uhudumiwe Na J-Son Production Kwa Huduma Za Kiwango Chenye Ubora Wa Hali Ya Juu.

Ukitaka Picha Nzuri, Video Zenye Quality Ya Hali Ya Juu Na Ubora Ulio Chati… 
Jibu Lako Ni J-SON Production… Tunatoa Huduma Zifuatazo:- Tunapiga Na Ku Edit Picha, Na Video Kwa Ubora Wa Hali Ya Juu Kwenye Send Off, Kitchen Party, Wedding, Komunio, Kipaimara, Filamu Na Hata Matamasha Mbalimbali… 
Ndugu Mteja Wetu Tukikufanyia Kazi Yako Pia Hua Tunatoa Ofa Mbalimbali Ikiwemo Mobile Studio Na Mengine Mengi…
Pia Tunafanya Graphics Ni Katika Kutengeneza Business Cards, Brochure, Flyers, Banner, Billboards, Logo, Company Profile, Letter Head Pamoja Na Digital Printing…

Tupo Kinondoni Biafra | Block 41 | Bi. Husna Street Mob: 0767 77 77 75 | 0767 220 035
Karibuni Kwa Huduma Bora… 


No comments:

Post a Comment