INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, September 15, 2015

Ray Kutoa Tamko Kuhusu Tetesi Za Kuhamia CCM Toka UKAWA.

Kufuatia tetesi kuenea mtandaoni kuwa staa wa Bongo Moveis , Vicent Kigosi ‘Ray ‘ amehama UKAWA “team mabadiliko” na kwenda upande wa CCM., Ray amepanga kuvunja ukimya na kutoa tamko lake rasmi juu ya swala hilo.

Kupitia ukursa wake kwenye mtandao  wa  kijamii wa instagram Ray ambaye amekuwa akishambuliwa na baadhi mashakibi wake kwenye mtandao huo wakidai kuwa amenunuliwa , aliandika haya;
“Nimeyasikia mengi sana kwenye mitandao ya kijamii ila nasema hivi nitatoa tamko langu soon”.
Nadhani sasa mashabiki wapunguze munkali wasubiri tamko lake.

No comments:

Post a Comment