INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, September 15, 2015

Irene Uwoya Asikitishwa Na Wasanii Wasioiunga Mkono CCM.

"Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika Mh.Kikwete amekuwa karibu Sana na wasaniii na ametufanya tudhaminike.

Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana!
Kunawatu walikuwa wanashinda Ikulu na Mh, anawasaidia sana katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambaye hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz niniii? Loooo!!!aibu".Uwoya aliandika kwenye Instagram

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget