INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, December 22, 2015

Lulu Haishi Vituko, Angalia Alichoandika.

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kummwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.

Le Mbebe…! Le Super Handsome🙌🙌🙌🙌Le Twinnie💖💖💖
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA Kiume Popote ulipo Kama tumboni Kama kwenye mayai ya Uzazi au popote…Tafadhali rithi Kwa Babu yako utakapokuwa tayari kuja🏃🏃🏃-Haya ndiyo maneno aliyoandika Lulu.

No comments:

Post a Comment