INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, December 7, 2015

Napoleon Asema Lulu Na Wema Sepetu Wana Sifa Za Kufanya Vizuri Hata Hollywood.

Star wa filamu ya Going Bongo inayoendelea kufanya vizuri kimataifa Ernest Napoleon amewataja waigizaji wa Kitanzania Lulu Elizabeth Michael na Wema Sepetu kuwa wana sifa za kufanya vizuri hata Hollywood kama wakipata nafasi na kuwa na management nzuri. Ernest akizungumza na Bongo5 amesema kuwa wengi wanaziponda filamu za Bongo lakini ubovu wa filamu unaweza kusababisha na production mbaya au filamu kutengenezwa ndani ya muda mfupi kwa kuharakishwa lakini suala la uigizaji wa msanii ni kitu kingine.

Napoleon alisema Wema tayari ana kipaji hata cha kusikilizwa na watu kwa chochote anachozungumza na ukiongeza na kipaji cha kuigiza ni credit nzuri. Kwa upande wa Lulu alimfananisha na Lindsay Lohan wa Hollywood kwa kusema wote ni waigizaji wazuri and walizana kutamba tangu utotoni.

No comments:

Post a Comment