INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, December 27, 2015

Mama Lulu Agoma Lulu Kuondoka Nyumbani.

Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili yake.

Mama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado anahitaji aishi katika maadili ya mzazi.
Chanzo:GPL

No comments:

Post a Comment