INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, October 29, 2012

BAADA YA KUCHUMBIWA, ‘JINI KABULA’ AWAPA MAKAVU WABAYA WAKE…!!


Msanii wa Bongo movie Jini Kabula, ameweka wazi kuwa tayari ameshaingia kwenye maisha mapya, kwani ameshachumbiwa na mwanaume aliyedai kuwa ni mfanyabishara ambaye mara nyingi husafiri kwenda nje, na kudai wabaya wake wanaochukia wameze sumu.

 Aliongeza kuwa “maisha yanabadilika na kama ameishi maisha ya kujiachia na starehe kwa muda mrefu sasa ni wakati wake wa kuishi ndani ya ndoa na kutulia” .

“Muda ukifika nitaolewa tu na wasiyotaka kazi kwao, unajua kuna wakati fulani huwa nawaza kwa nini nisiolewe na majibu yake yameshakuja kama hivyo uchumba tayari kilichobaki ni kuanza harakati za kumaliza kazi na mimi kuitwa mke,”.

No comments:

Post a Comment