INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, October 18, 2012

TANZANIA ENTERTAINMENT NEWS: SHILOLE ANENA KUHUSU KUONYESHA NYETI MAJUKWAANIKufuatia wasanii wengi nchini Tanzania hususani wa Bongo Movies na wale wa Bongo Fleva kuvaa nusu uchi wanapokuwa katika majukwaa kwa ajili ya Burudani imedaiwa kuwa ni tabia ya msanii binafsi na sio wote kama ambavyo wengi wanafikiri.
Akizungumza na JAIZMELALEO Mwigizaji wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed "Shilole" amesema licha ya BASATA kutamka na kuwataka wasanii waache tabia hiyo, kwa upande wake analiona kama ni suala la mtu binafsi kwani sio wote wanaopenda kufanya hivyo wanapokuwa majukwaani.
Itakumbukwa katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa wasanii Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiomba msamaha kwa wadau wa Bongo Movies kutokana na kuonyesha nyeti zao jukwaa.
You might a

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget