INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, October 23, 2012

ELIZABETH MICHAEL AKA LULU ARUDISHWA RUMANDE


Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth 'Lulu' Michael pichani juu, akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena

No comments:

Post a Comment