INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, October 18, 2012

FILAMU MPYA YA FAMILY WAR YA JENNIFER KYAKA (ODAMA) ITAKUWA SOKONI NOVEMBER MWEZI UJAO

J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) sasa wanakuletea filamu mpya inayoitwa "Family War." Filamu hii itakuwa sokoni mwezi Novemba 2012 kwahiyo wadau na wapenzi wa filamu msikose kuangalia filamu hii, kwani utaelimika, utaburudika, utafundishwa na kuadabishwa.

J-Film 4 Life baada ya kukuleta filamu ambazo naamini ulishaziangalia kama Chocolate na House Maid na nyingine nyingi ambazo ni gumzo jijini Dar es Salaam, sasa imeona ikuletee filamu hii mpya yenye viwango vya kimataifa. Kama unavyojua J-Film 4 Life ni kampuni ambayo inatoa filamu za viwango vya juu sana na bora.

USIIKOSEEEEEEE!!!!!!

ANGALIA TRAILER

No comments:

Post a Comment