INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, May 23, 2012

AROBAINI YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA NYUMBANI KWAKE SINZA

 Mama Mzazi wa marehem Steven Kanumba THE GREAT akiwa nyumbani kwa marehemu pamoja na ndugu na jamaa na marafiki wa marehemu katika kuhitimisha msiba wa nguli huyo wa filamu nchini aliyefariki hivi karibuni.Arobaini ilifanyika kwa kuanza na misa iliyofanyika katika kanisa la changombe na baadae katika makaburi ya kinondoni alipozikwa marehemu,na baada ya hapo watu walielekea katika kituo cha watoto yatima cha sinza ambacho mara nyingi marehemu Kanumba alikuwa akitoa misaada hapo,Na kisha kumalizia arobaini hiyo nyumbani kwa marehemu sinza vatcan.MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI AMEN

 Watoto waliokuwa mara nyingi wanaigiza na marehemu hasa katika filamu ya Biggy Daddy

 Mama wa marehemu akihojiwa na mwandishi wa habari


 Ray akiwa amehudhuria arobaini ya rafiki yake na swahiba wake mkubwa

 Sandra akiwa katika majonzi

 Mzee Chillo akiwa hajielewi

 Wasanii wengi walihudhuria

 Mdogo wa marehemu aliyekuwa akiishi na marehemu Kanumba Seth Bosco akiwa na marafiki wa marehemu
 Mama huyu alishindwa kumalizia hotuba aliyokuwa anasoma

 Wema Sepetu na JB

 Asha Baraka akiwa na majonzi

 Baada ya  taratibu za arobaini kuisha watu walipata chakula

 Cathy Rupia akipata msosi

 Mzee Chillo akipata msosi

 Kupa na Jimmy Captain wakipata msosi

 Muendesha shughuli wa siku hiyo Dinno akitoa utaratibu

Mwenyekiti wa Bongo Movie akitoa salamu kwa familia kwa niaba ya Bongo Movie

2 comments:

  1. missing you Kanumba may your soul rest in peace. Amen

    ReplyDelete
  2. i like you odama sorry unaweza kupost nyumba ambayo alikuwa anaishi marehemu steven kanumba?

    ReplyDelete