INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, May 23, 2012

HAPPY BIRTHDAY RAY THE GREATEST

 Kaka yetu na Msanii mwenzetu  Vincent Kigosi alifanyiwa tafrija ndogo ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na Wasanii wenzake.Ingawa RAY muda mwingi alikuwa na mawazo na kutokuwa katika furaha yake ya kawaida kutokana muda mwingi kumuwaza swahiba wake marehemu Kanumba aliyefariki hivi karibuni.Wasanii wenzake mara nyingi walijitahidi kumfanya nguli huyo asiwaze sana kwa kumfurahisha na kumtaka akaze moyo na kumwambia hayo yote ni maisha kinachotakiwa ni kumuomba mungu.KAKA YETU TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA KAZI YENYE MAFANIKIO TUNAKUAMBIA HAPPY BIRTHDAY THE GREATEST

 Rachel akimkatia Keki Ray aanze kuwalisha waalikwa

 Jamani mimi kama kawa yangu nilipata keki hiyo tamu

 THE POWER Steven Nyerere akilishwa keki

 Mwenyekiti wa Bongo Movie akilishwa keki

 Auntie Ezeckiel akilishwa keki

 Rachel akilishwa keki


 Hakumsahau mdogo wake aliyetoka nae mbali sana enzi hizo

 Bonge la bwana akipata keki

 Jackline Wolper akipata keki

 Davina naye alibahatika kulishwa keki

 Charles Baba Kingunge 'TORRES' Usajili wa mwaka naye alikuwepo kutoa kampani kwa rafiki yake na wasanii wenzake

 Nikiwa na shostito wangu Rachel

 Mashostito hao

 Madada wakiwa wamependeza

 Hii ndio ilikuwa keki yenyewe

 Jackline Wolper akiwa katika pozi

 Picha ya pamoja na marafiki

Nyerere akiwa na Ray

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget