INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, May 7, 2012

MECHI KATI BONGO MOVIE 3 NA 

TWIGA STARS 2

 Kama kawaida ya Bongo Movie Club ushindi kwao ni kawaida yao juzi iliweza kuifunga Twiga Stars team ya wanawake kwa mabao matatu kwa mawili ulikuwa ni mapambano kwa kuichangia Twiga Stars ili iweze kupata hela kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yanayoendelea tarehe 21 ya mwezi huu watapambana na Namibia kama kumbukumbu zangu ziko sawa

 Kabla ya kuelekea uwanja Taifa kama kawaida ya wasanii wanapokutana upata picha za pamoja

 Catty Rupia na Mayasa Mrisho

 Njiani kuelekea Uwanjani

 Shilole

 Jackline Wolper katibu msaidizi wa Bongo Movie Club na Davina aliyevalia tishert nyekundu

 Wanachama wa Bongo Movie

 Kama kawaida ya mpira wachezaji usalimiana kabla ya mtanange kuanza

 Timu ya Bongo Movie

 Kazi imeanza wadau

 Benchi la ufundi likifuatilia mpambano kwa umakini mkubwa sana

 The Greatest  baada ya kumpisha  Jb

Mpira umekwisha na Bongo Movie kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa mawili

No comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget