INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, May 26, 2012

FILAMU YA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA

 Ile Filamu ya Mwalimu Nyerere iliyoshutiwa Butiama sasa inapatikana rasmi madukani baada ya kuzinduliwa rasmi katika kituo cha watoto yatima kinondoni hananasifu.Akiongea Steve Nyerere kwa niaba ya kampuni yake ya Nyerere the power amesema kuwa ameamua kufanya uzinduzi kwa watoto yatima kwa kutoa misaada ili amuenzi Mwalimu Nyerere.Nayo kampuni ya Steps Entertainment ambao ndio wasambazaji wakuu wa kazi hiyo wamesema walimkubalia steve kwa wazo lake hilo kwani jema katika jamii.Steve pia ametoa ahadi ya kusomesha watoto wawili kuanzia la kwanza mpaka la saba.hongera sana steve kwa kuwakumbuka watoto yatima.

 Steve akiwa na watoto yatima wa kituo cha Mayunga kinondoni

 Tambara la Mwalimu nyerere

 Watoto wakimsikiliza Steve na ujumbe wake waliofika kituoni hapo

 Misaada ikikabidhiwa

 Shughuli ikiendelea

 Misaada

 Wasanii waliomsindikiza steve kutoa msaada

 Msimamizi wa kituo akitoa neno la shukrani

N
 Steve akihojiwa na Sauda mwilima

 Mama mlezi akipokea maharagwe

 Nikiwa na Pritesh wa Steps Entertainment

Nikiwa na Rachel Haule

 Cathy Rupia akihojiwa

 Wakiangaliza sehemu ambako watoto wanalala

 Kitabu cha kumbukumbu cha wageni akisaini

Kambarage wa steps naye akisaini

No comments:

Post a Comment